Tunawatakia kila la heri! #KiswahiliLanguageDay https://n.respublicae.eu/EUAmbKenya/status/1677307446614695937
<div class="rsshub-quote">
Henriette Geiger: Leo ni siku ya lugha ya Kiswahili duniani. Siku hii tunatambua umuhimu wa Kiswahili na mchango wake ulimwenguni.
Je, wajua kuna maneno ya Kiswahili ya asili ya bara Uropa?
Kwa mfano: Shule 🇩🇪, Bendera 🇵🇹 Meza 🇪🇸 na zingine! @EUinKenya #WorldKiswahiliDay #KiswahiliDay https://n.respublicae.eu/i/web/status/1677307446614695937 https://t.co/Ayp9cvcnx9
</div>
🐦🔗: https://n.respublicae.eu/EUinKenya/status/1677310417180164097