RT @IEBC_YCC: Form ni kuverify your details.
Tuko live hapa Thika Starehe Grounds where @IEBCKenya is here to confirm if #Umechukua. Tuko hapa ucheck na uconfirm your voter details. Kumbuka kupiga kura lazima ikue registered kama mpiga kura but verification muhimu. #GE2022